Chadema Media TV
Chadema Media TV
  • Видео 4 728
  • Просмотров 34 442 206

Видео

NYASA KUANZA KWA KASI ZIARA YA KUHAMASISHA WATU KUJITOKEZA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Просмотров 4352 часа назад
NYASA KUANZA KWA KASI ZIARA YA KUHAMASISHA WATU KUJITOKEZA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
KATIBU BARAZA LA WAZEE KANDA YA NYASA AWA MBOGO AZUNGUMZA NA WAZEE MATEMA KYELA
Просмотров 2242 часа назад
KATIBU BARAZA LA WAZEE KANDA YA NYASA AWA MBOGO AZUNGUMZA NA WAZEE MATEMA KYELA
MWEKAHAZINA BAWACHA MKOA WA MBEYA AKIWASHA MOTO MATEMA JIMBO LA KYELA
Просмотров 1852 часа назад
MWEKAHAZINA BAWACHA MKOA WA MBEYA AKIWASHA MOTO MATEMA JIMBO LA KYELA
MWAMBIGIJA AZIDI KUUWASHA MOTO KYELA AZUNGUMZIA MAJIMBO YA UPINZANI YANAVYOPATA MAENDELEO
Просмотров 4352 часа назад
MWAMBIGIJA AZIDI KUUWASHA MOTO KYELA AZUNGUMZIA MAJIMBO YA UPINZANI YANAVYOPATA MAENDELEO
GOODBLESS LEMA AMTAKA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUACHA KUWATISHA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO
Просмотров 1,5 тыс.2 часа назад
GOODBLESS LEMA AMTAKA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUACHA KUWATISHA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO
MHE FREEMAN MBOWE ATOWA KAULI JUU YA WAFANYABIASHA KARIAKOO
Просмотров 4,3 тыс.2 часа назад
MHE FREEMAN MBOWE ATOWA KAULI JUU YA WAFANYABIASHA KARIAKOO
Godbless Lema akizungumza na jamii ya Wamaasai wa Wasso, Wilaya Ngorongoro.
Просмотров 2,9 тыс.4 часа назад
Godbless Lema akizungumza na jamii ya Wamaasai wa Wasso, Wilaya Ngorongoro.
Mwenyekiti Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Wasso, Wilaya ya Ngorongoro.
Просмотров 9 тыс.4 часа назад
Mwenyekiti Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Wasso, Wilaya ya Ngorongoro.
TUNDU LISSU ENDELEZA MOTO KATA YA HEKA MANYONI MASHARIKI
Просмотров 8379 часов назад
TUNDU LISSU ENDELEZA MOTO KATA YA HEKA MANYONI MASHARIKI
TUNDU LISSU AENDELEA KUUWASHA MOTO MANYONI MASHARIKI AMZUNGUMZIA RAIS KAMA MAMA ABDUL
Просмотров 7 тыс.12 часов назад
TUNDU LISSU AENDELEA KUUWASHA MOTO MANYONI MASHARIKI AMZUNGUMZIA RAIS KAMA MAMA ABDUL
ASKOFU MWANAMAPINDIZI AKUTANA NA WASUKUMU MANYONI MASHARIKI AZUNGUMZA KISUKUMA
Просмотров 93112 часов назад
ASKOFU MWANAMAPINDIZI AKUTANA NA WASUKUMU MANYONI MASHARIKI AZUNGUMZA KISUKUMA
TANZANIA KUKOPA SOMALI NCHI INAYOONGOZA KUWA NA WAKIMBIZI WENGI
Просмотров 81512 часов назад
TANZANIA KUKOPA SOMALI NCHI INAYOONGOZA KUWA NA WAKIMBIZI WENGI
ASKOFU MWANAMAPINDUZI ALAANI KITENDO CHA MLINZI WA RAIS SAMIA WA KIUME KUINGIA KWA WANAWAKE
Просмотров 67612 часов назад
ASKOFU MWANAMAPINDUZI ALAANI KITENDO CHA MLINZI WA RAIS SAMIA WA KIUME KUINGIA KWA WANAWAKE
KAPU LA SADAKA LILILOKWAPULIWA NA MLINZI WA RAIS SAMIA LAZUWA BALAA ASKAFU MWANAMAPINDUZI
Просмотров 7 тыс.12 часов назад
KAPU LA SADAKA LILILOKWAPULIWA NA MLINZI WA RAIS SAMIA LAZUWA BALAA ASKAFU MWANAMAPINDUZI
NENO LA ASKOFU MWANAMAPINDUZI KATA YA MITUNDU YAZUA BALAA
Просмотров 30914 часов назад
NENO LA ASKOFU MWANAMAPINDUZI KATA YA MITUNDU YAZUA BALAA
TUNDI LISSU APOKELEWA KWA KISHINDO KATA YA MITUNDU MANYONI MASHARIKI
Просмотров 9 тыс.14 часов назад
TUNDI LISSU APOKELEWA KWA KISHINDO KATA YA MITUNDU MANYONI MASHARIKI
ASKOFU MWANAMAPINDUZI AENDELEZA MOTO KUMSHUGHULIKIA RAIS SAMIA
Просмотров 18214 часов назад
ASKOFU MWANAMAPINDUZI AENDELEZA MOTO KUMSHUGHULIKIA RAIS SAMIA
ASKOFU MWANAMAPINDUZI ANENA MAZITO MANYONI
Просмотров 1 тыс.14 часов назад
ASKOFU MWANAMAPINDUZI ANENA MAZITO MANYONI
MOTO WA JOHN PAMBALU MANYONI WAAMSHA HISIA ZA WATU
Просмотров 1,7 тыс.14 часов назад
MOTO WA JOHN PAMBALU MANYONI WAAMSHA HISIA ZA WATU
JOHN PAMBALU AKUTANA NA LUHAGA MPINA KWENYE HOJA
Просмотров 1,8 тыс.14 часов назад
JOHN PAMBALU AKUTANA NA LUHAGA MPINA KWENYE HOJA
ASKOFU MWANAMAPINDIZI ACHARUKA MANYONI MASHARIKI AWASHANGAA WANANCHI KUENDELEA KUICHAGUWA CCM
Просмотров 29514 часов назад
ASKOFU MWANAMAPINDIZI ACHARUKA MANYONI MASHARIKI AWASHANGAA WANANCHI KUENDELEA KUICHAGUWA CCM
MTIA NIA MANYONI MAGHARIBI AWASHA MOTO KATA YA MITUNDU
Просмотров 11516 часов назад
MTIA NIA MANYONI MAGHARIBI AWASHA MOTO KATA YA MITUNDU
MWANDISHI ALIYETOA BARUA YA UCHUNGUZI WA RC SIMIYU ALIYELAWITI ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
Просмотров 33816 часов назад
MWANDISHI ALIYETOA BARUA YA UCHUNGUZI WA RC SIMIYU ALIYELAWITI ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
JOHN PAMBALU ASHANGAZWA JESHI LA POLISI MKOA WA SIMIYU KUMSHIKILIA MWANDISHI
Просмотров 1,5 тыс.16 часов назад
JOHN PAMBALU ASHANGAZWA JESHI LA POLISI MKOA WA SIMIYU KUMSHIKILIA MWANDISHI
MTIA NIA JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI ASHANGAZWA NA MBUNGE KUOMBA HUDUMA YA TBC MANYONI
Просмотров 95616 часов назад
MTIA NIA JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI ASHANGAZWA NA MBUNGE KUOMBA HUDUMA YA TBC MANYONI
FREEMAN MBOWE AWATAKA WANACHAMA NA VIONGOZI KUPAMBANA NA CCM NA SIO KUTUPIANA MISHALE
Просмотров 53116 часов назад
FREEMAN MBOWE AWATAKA WANACHAMA NA VIONGOZI KUPAMBANA NA CCM NA SIO KUTUPIANA MISHALE
FREEMAN MBOWE KUIPASUWA ANGA YA KASKAZINI KWA WIKI TATU
Просмотров 1,2 тыс.16 часов назад
FREEMAN MBOWE KUIPASUWA ANGA YA KASKAZINI KWA WIKI TATU
FREMAN MBOWE ARUDISHA MATUMAINI KWA WAKAZI WA ARUSHA
Просмотров 25116 часов назад
FREMAN MBOWE ARUDISHA MATUMAINI KWA WAKAZI WA ARUSHA
FREEMAN MBOWE AWEKA BAYANA HANA TOUTI YA TUNDU LISSU
Просмотров 26316 часов назад
FREEMAN MBOWE AWEKA BAYANA HANA TOUTI YA TUNDU LISSU

Комментарии

  • @jamesalbini6364
    @jamesalbini6364 6 минут назад

    Nawapata nikiwa bassodesh

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 2 часа назад

    Kodi kila kona

  • @user-ux8ms6ky9i
    @user-ux8ms6ky9i 8 часов назад

    Huku Jimbo letu hatuna mbunge misseny aliopo ni kama pazia tungepata kamanda WA nguvu ingependeza sanaaa

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 10 часов назад

    Looking good follow back done God bless you follow 👀 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 11 часов назад

    Wakenya wanajielewa sio kamacc

  • @evelina9621
    @evelina9621 13 часов назад

    Mbulu.mbowe.wenye Viti.wakumbuke.kulipa Weny Viti Kuwapa Posho.ccm.imewanyi Heshima.ikoma.kitumia.weny Viti

  • @evelina9621
    @evelina9621 13 часов назад

    Mama.mbulu😮😢.kazana.ndio.wakati Huo

  • @evelina9621
    @evelina9621 13 часов назад

    Wamekopa Pesa.nyingi.sana.kujifurahisha.na.wapambe.ccm

  • @evelina9621
    @evelina9621 13 часов назад

    Kazaneni.kusema.safari.,ziara.za.raisi.samia.zikome.kams.atakwenda.basi.atajikosesha.kura.magoti.yake.amesahau alikuwa.!anawagejeli.au Hizo.hela.ndizo Anajigamba.watu.n Bora

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 13 часов назад

    Kenya hoyee sisitunataka tumgoe Ruto as president nyie bakini 😂kumbembeleza uyu bibienu

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 14 часов назад

    Chama Cha Maana Hawa Ndugu Chadema Ndiyo Waokozi Pekee Wa Hili Taifa Vinginevyo Hali Ingekua Mbovu Sana.

  • @user-qb1jv2dy2d
    @user-qb1jv2dy2d 15 часов назад

    Sema ccm hana Watu wenye Weledi wa kuongoza Nchi hii, bila dola kuwawezesha hakika 😢

  • @dionisiaromwad1675
    @dionisiaromwad1675 15 часов назад

    Safi lema

  • @NyarubambamohamedyNyarubamba
    @NyarubambamohamedyNyarubamba 16 часов назад

    Watanzania tulowengi vichwa ni vigumu mno kuelewa, ninafikili Amna haja ya kudai katiba mpya tunapaswa kuishinikiza serikali iludishe Kodi ya kichwa tutakapokuwa tunakimbizwa na mgambo huenda tutaona uhusiano uliopo kati ya Kodi na huduma tunazpewa kama vina uwiano ,pia adha tutakazopata pindi tunakamatwa huenda tutapat akili ya kuwatoa ccm

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 16 часов назад

    Dah hawa ni viongozi bora

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 16 часов назад

    Nasikia watu wengi kwa sasa wanakwenda kununua magari Zambia. Wanadai kwamba ukinunulia gari Zambia ni rahisi mara 40 zaidi kuliko gari lile lile ukinunulia Tanzania. Wakati huo ikumbukwe kuwa magari yote yanayokwenda Zambia yanapitia katika Bandari ya Dar es salaam. Hiyo ndo miujiza ya Nchi inayoitwa Tanzania.

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 16 часов назад

    Mkuu wa nchi anaunguruma Tanzania ,,,,❤❤❤❤ sauti ya gharama hii SIMBA WA SIASA AFRIKA NA KATI...TUNAKUELEWA BABA

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 16 часов назад

    Hapo tulipofikia ni pabaya mno. Kwa hakika mabadiliko ni lazima kwa sasa.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 17 часов назад

    Na vochar ya mia tano

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 17 часов назад

    Leo sauti inasikika. Pia nyomi tunaona. Hongera Sana lema. Lkn katika safu yenu. Mnyika. Mnyika. Uko wapi.!?

  • @LazaroMwakasege
    @LazaroMwakasege 17 часов назад

    Nchi tulio wengini majinga kaziyetu kushangilia pombe wakati wa uchaguzi

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 17 часов назад

    Hakika huo ni ujinga kwani hayo maji hela unatowa mfukoni mwako hizo ni kodi za waTanzania

  • @fredrickyakobo
    @fredrickyakobo 17 часов назад

    Jaman John mnyika yuko wapi????

  • @alexmollel292
    @alexmollel292 17 часов назад

    Leo mpiga picha amejitahidi kutuonyesha watu kuna yule mwingine anatuonyesha jukwaa kuanzia mwanzo mpaka mwisho hajui kuchukua picha

    • @EnockKanduli-cv8yr
      @EnockKanduli-cv8yr 14 часов назад

      Asiye chukua picha ni kibaraka au chawa wa ccm hatakiwatu waone jinsi watu wanavyo jaa.

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 17 часов назад

    Hongera sana Mh, Lema

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 18 часов назад

    Nchi imekuwa ya ovyo hawataki raia wawe na Uchumi

  • @AkramOmari-ty1up
    @AkramOmari-ty1up 18 часов назад

    Love cdm 2025 All done president

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 18 часов назад

    Hatuoni picha ya umati wa watu na chops ikitua mwonyeshaji vipi

  • @PaskaliBaha
    @PaskaliBaha 18 часов назад

    CHADEMA ni moto mwingne ✌️✌️✌️

  • @Michaelminja-d4l
    @Michaelminja-d4l 18 часов назад

    Mpaka usiku huu mnaendelea na mkutano

  • @Michaelminja-d4l
    @Michaelminja-d4l 19 часов назад

    Mpaka usiku huu mnaendelea na mkutano

  • @user-mm6nx4jp2m
    @user-mm6nx4jp2m 19 часов назад

    Duu lema hayo maneno yenye mboiea yote haya hayafanikiwi sababu ya uongozi

  • @SaidiSelemani-l1n
    @SaidiSelemani-l1n 19 часов назад

    Safi

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 20 часов назад

    Nawapata kutoka Washington DC. Vivah.

  • @reginamwendwa6709
    @reginamwendwa6709 20 часов назад

    Hatusikii inakatikakatika

  • @user-lt1nr4tk9r
    @user-lt1nr4tk9r 20 часов назад

    Mungu atamilinda

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 20 часов назад

    👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @user-sh8xp5dn3w
    @user-sh8xp5dn3w 20 часов назад

    gekul

  • @user-sh8xp5dn3w
    @user-sh8xp5dn3w 20 часов назад

    Gekul vp

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 20 часов назад

    Jamani nyongeza ya kodi 50./

  • @user-on5vm6qs4c
    @user-on5vm6qs4c 21 час назад

    Kwa hyo hao watoto ndo watakaopiga Kura au mnawatuma wakawambie wazaz wao? 😅😅😅

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi 21 час назад

    Big up !

  • @AndsonHananda
    @AndsonHananda 22 часа назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @reginamwendwa6709
    @reginamwendwa6709 23 часа назад

    Big up Mungu awatangulie

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 23 часа назад

    Lisu ameondoka?????

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 23 часа назад

    Nawaombea CDM operation komboa Tanganyika

  • @stanmashamba7055
    @stanmashamba7055 День назад

    Mungu mwema!!!

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 День назад

    CHAMA IMARA CHAMA MAKINI SANA

  • @HermanZephirne
    @HermanZephirne День назад

    Hongereni sana viongozi wa chama mnapambana kadri muwezavyo

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s День назад

    Sala ya kimaasai: E mwenyesi mungu nakushukuru kuturuhusu kuwa hapa, nakushukuru kwa viongozi wetu kuwepo hapa Leo, tumekuwa wa cdm kwa muda , tumeumizwa sana na watawala wetu, emungu tupe Leo mabadiliko yenye matumaini. Asante mungu kwa uwepo wa cdm uimarishe na kuijenga zaidi kwa nguvu zako. Naomba haya kwa jina lako amen.